Wamekumbuka shuka wakati kumekucha, tuone watupe na wale vijana wetu waliopo Yanga kikazi. Tukiwataja haraka watashtuka ngoja wachapwe kwanza kama michezo miwili mfululizo hivi.yanga chiboko, mmeyatupa makapi ya simba leo
Usihofu mkuu vijana wangu nawaamini...go Coastal Go.....
Mkuu basi hata sheria wanazijua hawa ndala wa humu? Ukifunguliwa mashtaka tu basi tayari umekutwa na kosa na kufungwa moja kwa moja.kumbe ni kufunguliwa?
Huyo ni mwenzenu, anaonesha ni jinsi gani ndani ya Yanga bado kuna Vihiyo na Steve Yanga wengi.Minor correction: nafasi ya 8.
Unataka Yanga wazimie kama kawaida yao nini?...ngapi ngapi mpaka sasa...?
Simba wanarusha mawe kwa mashabiki wa Yanga.
Kama wameanza wenyewe kwanini wasijibiwe...watu wameenda kuangalia mpira tuli nyinyi mnaanza kuwarushia chupa za maji.Simba wanarusha mawe kwa mashabiki wa Yanga.
Litarudi tu hilo, kaa hapa hapa usikimbie.Kumekucha mkwakwani tanga, coast 0-1 yanga
Litarudi tu hilo, kaa hapa hapa usikimbie.
Naona leo refa ameonwa chemba mapema.