Man Utd mnapata another Candidate wa ukocha ubaya Abromovich atasubiri hadi Man utd watangaze kocha mpya ndo amfukuze Mourinho
Cc Belo, DonDonald, Nzi, Mndengereko
Morinyo na guadiola ni wababaishaji tu hamna makocha pale
Hao Emirates hata wachukue haina shida...nilikuwa na tabu sana ya Loserfools kushinda EPL na hawa Chel$ki$ kushinda UCL...
Bora Wenger
Leo atasema waulize FA!. Sie ndio timu ya mwisho ya kiengereza kutolewa alafu unafurahi? Ndio Maureen atavyosema na bet 100 to 1.Ninasubili kumsikia atasemaje baada ya mpira
Ohh kumbe Stamford Bridge na wao wanatoka Kapa kama Ol Traford vile
Safi sana
Anfield kapa, Stamford Bridge kapa, Emirates {Dah Hull City plz do us a favour}
Man Utd mnapata another Candidate wa ukocha ubaya Abromovich atasubiri hadi Man utd watangaze kocha mpya ndo amfukuze Mourinho
Cc Belo, DonDonald, Nzi, Mndengereko