Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Josef anataka kufanya kale kamchezo alikowafanyia psg
 
Chls wanamtoa Torres na kuingia Ba, dk ni ya 67 chls 1 - 2 ATM
 
Nawaonea huruma jamaa zangu kina Kaizer na Erickb52 kwani sidhani kama CFC watapita mbele ya ATM leo. Eto'o kawa nuksi leo.

Tangu lini Kaizer akawa Chelsick? Mi najua hõmuboi wangu huwa hatembei peke yake kama ambavyo mimi sitembei mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
denge alilozoea kupita joseee leo kakuta wamejenga ukuta....
 
It will be a Madrid Derby come 24 next month....
 
Apark bus sasa tuone? She.nzy kabisa huyu! Kumbe wakibabuliwa huwa wanacheza mpira? Leo naona kwenye box mpaka wanacheza 6!
 
DonDonald nilikwambia majibu yatapatikana dk ya 60. Ngoja tusubiri tuone kama Chelsea watafunga magoli 2

Mkuu lazima nikutafute kesho, ulivyootea jana ndio inatokea na ninavyojua lazima ulipitia bookies

Halafu ni mwisho wa mwezi huu lazima uliweka hela nyingi lol

Ila mpira lolote linaweza kutokea ngoja tusubilie kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…