Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

Live Updates:Chelsea vs Atletico Madrid

iverson95

Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Twende hatua kwa hatua kweny mtanange huu


Final Score: Chelsea 1 - Atletico Madrid 3

Atletico Madrid wameingia Final ambapo watacheza na Real Madrid

=======================================================================

LINE UPS
=======================================================================


fb655287-1ba4-44b6-9ab9-580e3c707798.jpg



577dd325-c794-4a08-bc82-64adb5a551d8.jpg
 
Huu ni mwaka wa fainali ya waspain, nawapongeza Chelsea kwa hatua waliyopiga so far but kufika fainali ni issue ya kusadikika.
 
Chelsea: Schwarzer, Ivanović, Cole, David
Luiz, Ramires, Torres, Hazard, Willian, Cahill,
Terry, Azpilucueta
Atletico Madrid: Courtois, Torres, Miranda,
Godin, Luis, Cardoso, Suarez, Koke, Arda
Turan, Adrian, Diego Costa
 
Game ya leo hata sijui nani mshindi
 
adui mwombee njaaa katutibulia kwenye EPL wacha naye wamgonge tuuu
 
Hayahaya wadau wa kandanda, ndani ya nyumba ni mimi Skype nikishirikiana nanyi kwa pamoja kuwamegea dondoo wakati wa mtanange mkali wa kukata na mundu kati ya chelsea na atletico. Tuwemo.
 
Namwona tores anapitapita hapa, namwona pia diego costa
 
Naam naam ndugu msomaji, timu zinajipanga dimbani tayari kuanza kipute
 
Mungu saidia huyu muhuni jose Mourinho atolewe leo. Jamaa kazi yake kuwaaribiea wengine. Ref: liver aseno
 
Last edited by a moderator:
Kwa harakaharaka nikicheki mchezo wa leo naona morinyo kaamua kufunguka dk za mwanzo ili apate bao mapema na apaki treni
 
Naam naam ndugu msomaji, timu zinajipanga dimbani tayari kuanza kipute

hata daraja litakapo sombwa namafuriko plz redio mbao yamatangazo Fanya uifunge juu ya mti isikatike matangazo maana hali yaweza kuwa si shwari
 
Back
Top Bottom