ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
- Thread starter
-
- #81
mguyi alikuwa yupo ndani ya box anamfuata kipa, akavutwa, anapga tegete....... Gooooooooooooooooooooooooooooo
Dah,safi sana.Nadhani ni ukaribisho mzuri wa Jembe letu jipya Moses Oloya.
Pamoja Mkuu, niabarishe jinsi Yanga anavyo chezea udude
Oscar joshua vipi,,nilimuona mechi ya mwanza,naona hafai kucheza yanga
Oscar joshua vipi,,nilimuona mechi ya mwanza,naona hafai kucheza yanga