LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

mtibwa wanshambulia, wanapoteza nafas ndan ya box ya yanga
 
hii mechi ni kipimo sahihi kwa timu zote mbil, sbabau znacheza kama zipo kwnye ligi sasa hv
 
Niyonzima anacheza sna na nafasi, matokeo yake pasi nyingi za mwisho anazopiga znakuwa ofsde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…