LIVE UPDATE; YANGA vs MTIBWA (friendly match)

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
Ni match ya maandalizi ya msimu mpya, karibuni taifa muone vifaa vya yanga vilvyopikwa kutoka la masiah ya jangwani.
 
wachezaji wa yanga wanaingia uwanjani kupasha, BRANDTS ndani ya nyumba.
 
Yanga tafadhali mtulizeni kocha wa Mtibwa maana anatangaza uteja kwa kushinda game ya mwaka jana na draw kibao!anajiona ameshakuwa mtemi wa Yanga!mtulizeni leo wale kama 3-0 hivi watulie!
 
Mtibwa nao wanaingia kupasha, kwa yanga hapa simuoni ngassa
 
Hamisi kiiza anaingia uwanjani, anashangiliwa!!
 
yanga waichukulie serious hii game ili washinde maana huyo mexime hana tofauti na Julio wa simba
 
Yanga tafadhali mtulizeni kocha wa Mtibwa maana anatangaza uteja kwa kushinda game ya mwaka jana na draw kibao!anajiona ameshakuwa mtemi wa Yanga!mtulizeni leo wale kama 3-0 hivi watulie!
Tatu bila? umesikia kiruvya fc hao?
 
Bado gemu haijaanza wakuu?
Najua leo mtibwa lazima wajifiche chini ya "kisoda"
 
YANGA
1.dida
2.juma abdul
3.joshua
4. Ni dogo kutoka yanga b, bdo sijapata jina lake
5.cannavaro
6.chuji
7.bahanuzi
8.telela
9.kondo
10.teget
11.niyonzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…