Mkuu, kiukweli sare hakuna (kitambaa kidogo) lazima mnyama anye mavi ya kila rangi.Mkuu naombea mpate sare ili kesho yanga wamchape mtu waongoze ligi.
Usisahau kuja na kiroba, nyama itakua haina mwenyewe.mkuu Azam itabaki kuwa bidhaa bora ya bakhressa lakini si timu bora mbele ya mnyama, leo ni kichapo tu
mkuu naona umetanguliza matamanio yako kuliko hali halisi
Mkuu, leo Azam haitafanya makosa muliyoyafanya Yanga. Kosa kubwa alilofanya Yanga ni uoga. Baada ya kumpakata Simba (akafikiria kapata paka) alipo geuka nakugundua kumbe ni Simba, uoga ukawaingia na kumtupa huku mukitimua mbio, ndipo mnyama akaanza kujitetea nakudhuru baadhi ya wasakaji wa Yanga. Sasa leo Azam hatutarudia makosa hayo. Tuta hakikisha tukimpakata hatumuachii.Nitafurahi kama matokeo yatakuwa hivi
Azam 0-0 Simba
T Prison 2-1 Mbeya city.
mechi zingine hazina madhara kwa YANGA.
Nia tunayo, Sababu tunayo, pia uwezo tunao.mkuu naona unachoma maindi kwa jiko la umeme