Full time: Simba iliyokuwa imesheheni Ma'pro kibao 4 - JKT Oljoro iliyomaliza 8 ndani huku mchezaji wa ndani akienda kucheza nafasi ya Kipa 1
Hongereni Watani
Kimtezamo ni mechi mbili 2 za ugenn,ya prison na ya oljoro,zilizobaki zote uwanja wao wa nyumbani ni uwanjan wa taifa,africa lyon,yanga,jkt ruvu na ruvu shooting zote uwanja wao wa nyumbani ni dar es salaam taifa.
Mkuu pamoja na hilo sioni la kulalamika, mfano hawa Simba baadaye watacheza mfulizo mechi nje ya Dar wakati sisi Yanga tutakuwa tukicheza Dar, na sioni cha maana Dar zaidi ya mapato, mpira siku hizi hauna cha nyumbani na ugenini la maana kanuni za mpira zizingatiwe ushindi utapatikana tu iwe Morogoro ama Dar hata Mbeya.