Live Update Simba S.C Vs JKT Oljoro

Wapi Ngasa?. Hizi ndio mechi zake. Sio kwa yanga.
 
Goli la Okwi unaambiwa ni kama lile la Kavumbagu la juzi,kwahiyo ingekuwa ni yule mchezaji wa 13 wa ile team fulani lazima ingekuwa offside,inaonekana ile adhabu ya wale Jamaa imewafundisha kitu hawa Waamuzi
 
Ina maana Okwi kapata red tena? Au maftah kapewa nyingine??

Okwi katupiwa yellow,kashangilia ile ya kupitiliza unaambiwa utafikiri ndo kaifunga Yanga....goli la kuifunga JKT Oljoro Okwi hadi anavua jezi,inakuwaje?
 
Halafu hii Card ya njano ya Okwi mje mseme ina mkono wa mtu,mana'ke hamkawii
 
Naona sasa hv pale Simba kila mtu anataka kutoa gundu la kufunga goli,hadi Nyoso anafanya attemp...ha ha ha ha ha!
 
Kipa wa Oljoro anapata card nyekundu na Simba wanapata penalt hapa
 
Hii lazima watampa Akuffor au Sunzu nao watoe gundu
 
Nilisema Sunzuuuuuuuuuuuuu,goalllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll!
 
Hope,,hiyo penalt sio ya kubebwa kama ya watani..
 
Sunzu atoa gundu kwa mara nyingine
 
mr govinda ka2patia penalt hongera simba kwa ushindi
 
Once again, another bad news kwa Manji na wavaa ndala wenzake!!
 
Hizi goli 4 zingenoga kama zingesukumwa kwa Yanga.
 
Ila TFF ni wapuuzi sana .. itakuwaje timu moja icheze mechi tano za nyumbani mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…