Live Update: Mapinduzi Cup 8/01/2015


Upuuzi mtupu.
 
Kumbe kenge mwenyewe ni wewe.I rest my case . Sarcasm.
 
Mtibwa ndo bingwa wa bonanza hili,
kama hutaki unaacha.
 
Bora umeedit kwani kukiri kwamba wewe ni kenge ni upuuzi mtupu.
 
Ni kawaida kwa mabinti kushtaki kwa kaka zao wanaposhindwa vita.Hivyo sioni ajabu migongo wazi kuitegemea Mtibwa.
 
Amavubi kenge atazinduka baada ya muda yaani ni mzito kuelewa mara moja, mpaka apigwe jeki.
 
[TABLE="class: league-table, width: 468"]
[TR="class: even"]
[TD="class: fd"]FT[/TD]
[TD="class: fh, align: right"]Sunderland[/TD]
[TD="class: fs, align: center"]0 - 1[/TD]
[TD="class: fa"]Liverpool[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hivi wana-Yanga wanatafuta nini humu? Nilitegemea watakuwa bandarini kuwapokea wapiga mpira wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…