figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,191
- 64,600
Walianza kwa kumkimbiza..kamata huyooo...kamata huyoooo...

Kibaka alipozidiwa na mawe alokuwa anarushiwa ikabidi ajichanganye kwenye magari na kuingia kwenye uvungu wa gari chubwii....!!
Huku na huku mara kaonwa yule pale yule paleeee....kajificha uvunguni mwa gari...
Baada ya kuona mambo magumu ikabidi afiche kichwa ili wasimjeruhi kwa mawe.

Waliporusha mawe na kuona hatoki wakaamua kumbembeleza dreva aondoe gari wamkamate

Dreva akakataa katakata hadi police waje. Mia