Yahya, suala hapa ni uzawa ama maendeleo ya soka? Ni kweli tukipata maendeleo ya soka kwa kutumia makocha wazawa inakuwa jambo zuri zaidi lakini tusing'ang'anie makocha wazawa tu hata kama ni dhahiri hawawezi kuleta maendeleo. Binafsi sifikiri kwamba tatizo la kiwango kidogo cha soka kinaanzia kwenye makocha au timu ya taifa....ni tatizo pana zaidi.