Live:Tbc1 hapa Nape Nnauye na pale John Mnyika

Mtangazaji kawambia wasianze kushutumiana!
Mnyika kaongea point kubwa kasema
sheria ya uchaguz ifanyiwe marekebisho
kwamba waangalie kuwa kama mtu hana kadi, lakn jina lake lipo kweny daftari la wapga kula awe na fomu ili kupunguza maneno ya upotev wa kadi zimenunuliwa!
 
john kaongea point, pengine matusi ya kina Mkapa na Lusinde yalipunguza wapiga kura,pia wagombea kutopewa nafasi ya kujidadavua kama ilivyokuwa kwa Sioi
 
Mnyika karusha dongo la matusi ya lusinde kuwa yanaweza kusababisha kupata wahudhuriaji wengi lakini wakakunyima kura kutokana na matusi yako.
 
pamoja na demokrasia yetu kukomaa, maswala ya kuchafuana yanaharibu ukomavu huo democrasia. John
 
Mnatia aibu sana ninyi nyote mnaoangalia TV, tena mko online JF halafu mnashindwa kuandika nini kimesemwa na wahusika; kwa faida ya wanaJF waliombali na TV, kuufanya mjadala uwa hai na endelevu na tatu, kuwa na mahali pa marejeo siku zijazo.

Hatuna mashindano nani ni wakwanza kuanzisha thread. Bali tushindane na kujengana kwa hoja zenye mashiko.

MUONE AIBUUU!!
Ndiyo Aibu yenuuu!!
 
Wote wamejitahidi. Hakuna jipya sana. Msisitizo wa kuwa na tume huru na kuendesha kampeni za kistaarabu ,
 
pindi limeisha, wamemtupia Tunu Pinda kuamasisha mambo ya CHANETA, TBC wangetuletea Lusinde, Mkapa, Mwigulu waje kuomba radhi kwa Wameru na waTZ hasa watoto wadogo waliojaa kwny kampeni zao, hawakustahili kusikia heavy insults kama zile, watatukana walimu zao
 
Mnatia aibu sana ninyi nyote mnaoangalia TV, tena mko online JF halafu mnashindwa kuandika nini kimesemwa na wahusika; kwa faida ya wanaJF waliombali na TV, kuufanya mjadala uwa hai na endelevu na tatu, kuwa na mahali pa marejeo siku zijazo.

Hatuna mashindano nani ni wakwanza kuanzisha thread. Bali tushindane na kujengana kwa hoja zenye mashiko.

MUONE AIBUUU!!
Ndiyo Aibu yenuuu!!

Mkuu kama unavyojua watangazaji huwa hawana mada moja so nadhan wachangiaji walikuwa wanafutilia na vzur zaid kila mtu alikuwa anatuma aloliskia likiendelea ama limeulizwa swal gan!
Sio kujua nan katuma thread hii hapana! Kama unvyojua wana jf tunapendana ili walio karb na tv waanze kuhshuudia kabla hawajaanza kuongea sana! So fuatili michango ya wadau! Ila hapo penye maandish ya blue edt!!
 
Vp wamekata matangazo? Tunajua CCM na CUF wanasafilisha wapambe wao kwenye mafuso na malori.
 
Godyp unapaswa kuona aibu. Ulitakiwa kuomba msamaha kwa wanajamvi kabla ya kujitetea.

Nisome vizuri tena na tena.

Kukusaidia ngoja nikuonyeshe mtiririko. Kwanza shukrani kubwa ziende kwa jogi, amejitahidi sana kuwasilisha alichosikia vizuri, kiasi kwamba msomaji unapata kitu toka kwake.
Wewe umeanzisha uzi saa 23:14 hukurudi hadi na dk 23. Haujatuambia mada waliyokuwa nayo mezani ni ipi. Dk 17 unaulizwa swali la msingi. Jogi analijibu swali hilo dk18. Wewe umekuja kulijibu dk 23, ukiwa unamjibu Mathewz aliyetaka kujuzwa kinachojiri. Jibu lako halina mashiko kama la jogi: Ona tofauti "Idadi ndogo ya wapiga kura" na "Kujitokeza watu hafifu kupiga kura". Kwa mtu aliye makini atauliza idadi ndogo ya wapiga kura imefanya nini?, imetendewa nini?,...? Haijitoshelezi. Lakini jibu la mwenzako lina mashiko ukiachilia mbali matumizi ya watu hafifu badala ya wachache.

Funguka, usiwe fundi wa kujitetea. Ona aibu. Kama unaanzisha thread inayokwenda sambamba na programu ya TV halafu unaibuka mara chache mno kuliko waliokufuata ktk kuwajuza watu, tena katika ubora wa chini. Angalia, mpaka inafika dk 40 umechangia nini?
 
Sijapenda tabia ya huyo mwandishi/mtangazaji kudakia mazunguzo pindi walipokuwa wanafafanua hoja zao. Mnyika always is a smart guy!
 
Godyp unapaswa kuona aibu. Ulitakiwa kuomba msamaha kwa wanajamvi kabla ya kujitetea.

Nisome vizuri tena na tena.

Kukusaidia ngoja nikuonyeshe mtiririko. Kwanza shukrani kubwa ziende kwa jogi, amejitahidi sana kuwasilisha alichosikia vizuri, kiasi kwamba msomaji unapata kitu toka kwake.
Wewe umeanzisha uzi saa 23:14 hukurudi hadi na dk 23. Haujatuambia mada waliyokuwa nayo mezani ni ipi. Dk 17 unaulizwa swali la msingi. Jogi analijibu swali hilo dk18. Wewe umekuja kulijibu dk 23, ukiwa unamjibu Mathewz aliyetaka kujuzwa kinachojiri. Jibu lako halina mashiko kama la jogi: Ona tofauti "Idadi ndogo ya wapiga kura" na "Kujitokeza watu hafifu kupiga kura". Kwa mtu aliye makini atauliza idadi ndogo ya wapiga kura imefanya nini?, imetendewa nini?,...? Haijitoshelezi. Lakini jibu la mwenzako lina mashiko ukiachilia mbali matumizi ya watu hafifu badala ya wachache.

Funguka, usiwe fundi wa kujitetea. Ona aibu. Kama unaanzisha thread inayokwenda sambamba na programu ya TV halafu unaibuka mara chache mno kuliko waliokufuata ktk kuwajuza watu, tena katika ubora wa chini. Angalia, mpaka inafika dk 40 umechangia nini?

Asante sana mkuu kwa uchambuzi makini, nimefurahi nilipoona umeona makosa ya baadhi ya lugha niliyoitumia, pamoja sana!!!!
 
Back
Top Bottom