Live:Taifa stars vs DRC Taifa

mechi hii ni sawa mazoezi ya timu ya majini meusi na villa squad.
 
tupe list ya majina walioanza kipindi cha kwanza
1.Kaseja
2.Nsajigwa
3.Mwasika
4.Aggrey Moris
5.Juma Nyoso
6.Shaban Nditi
7.Mwinyi Kazimoto
8.Abdi Kasim
9.John Boko
10.Husein Javu
11.Mrisho Ngasa.
 
tupe list ya majina walioanza kipindi cha kwanza

list nzima siwezi kuitaja bali ntakutajia ninao wakumbuka:
KASEJA, CNAVARO, NGASA, JOVU,ABDI KASSIM/BABI,ADEBAYOR/BOKO, NSAJIGWA, MORRIS, KAZIMOTO, MWASKA na NDITI. hao ndo wamecheza kipindi cha kwanza. mchezaji wa congo Mputo namba 8 anawanyanyasa sana mabeki wa tanzania.
tanzania wanacheza 3-5-2 wakati congo wakicheza 4-4-2.
congo wanacheza kitimu kuliko tanzania.
 
mpira kipindi cha pili ndo kinaanza makipa wote wamebadilishwa. congo wamemuingiza kidiaba na tanzania wamemuingiza kipa namba moja wa azam jina limenitoka. kipindi cha pili kishaanza.
 
mpira kipindi cha pili ndo kinaanza makipa wote wamebadilishwa. congo wamemuingiza kidiaba na tanzania wamemuingiza kipa namba moja wa azam jina limenitoka. kipindi cha pili kishaanza.
Mwadini Ali.
 
kuna mabadiliko yamefanyika kwa upande wa tanzania.Wameingia;
1.mwadini ally (kipa)
2.Uhuru suleiman
3.Nsa Job
4.nassor said choro.
walio toka bado sijawapata. ntawapeni updates nikipata but kaseja na Ngasa wametoka.
 
KAYABA ametukosa kosa mpira wa kichwa ambao umeokolewa na kipa ally ambaye pia ni kipa wa zanzibar heros.
 
kuna mabadiliko yamefanyika kwa upande wa tanzania.Wameingia;
1.mwadini ally (kipa)
2.Uhuru suleiman
3.Nsa Job
4.nassor said choro.
walio toka bado sijawapata. ntawapeni updates nikipata but kaseja na Ngasa wametoka.
Nsajigwa na Husein Javu.
 
boko amekosa goli la wazi baada ya kuzembea. hata kadiaba kashakubali ni goli lakini kichwa cha adebayor kikakosa mpira yeye na nyavu kipa kashapotea. wachezaji wetu hawajitumi
 
wakuu ni kwamba ametoka Mwinyi kazimoto nafasi yake imechukuliwa na JONAS GERARD na ABDI KASSIM akatoka nafasi ya ikachukuliwa na SALUM ABUBAKAR. Hizi ni damu changa wameingiza ili kuwapa uzoefu.
 
wakuu huyu deokanda anaye chezea tp mazembe amemzungusha na kumuabisha said choro kwa chenga hadi akakaa chini kwa kuchoshwa. ni aibu sana kwa tz. ina maana hana pumzi?
 
asante mkuu. Husein javu nafasi yake itakuwa imechukuliwa na Wazir salum. kuna mtu nmemuona ndani kama wazir. naomba unijulishe mkuu.
Wazir Salum sure boy wameingia pamoja na Jonas Gelard baada ya Mwinyi Kazimoto na Abdi Kasim kutoka.
 
Mchezaji bora wa CHAN 2009 Nabi Mpoto katoka. ntawajulisha aliye ingia nikipata jina.
MATOKEO NI BILA BILA HADI SASA.
 
Back
Top Bottom