Live stream link ya mechi ya Taifa Stars leo

Inaonekana wameamua kuonesha mechi ya wanaCOSAFA original Angola vs Malawi kwa sababu za kibiashara.

Uwezo wao ni kuonesha mechi moja mubashara.
 
WANATAKA KULETA HUJUMA WATUTOE WAGENI WAALIKWA, HIVI SOUTH AFRICA WAPO SHIRIKISHO LIPI MBONA SIWAONI COSAFA?
 
Hujuma gani mechi mbili zinachezwa kwa pamoja wao wenye mashindano wanaonesha mechi moja kwa wakati mmoja.


Wameamua kuonesha mechi yenye mvuto wa kibiashara. Sisi ni waalikwa na Mauritius ni wa pembezoni.
 
2449bdb88425201fe6658c6a1e0b6827.jpg
 
Anybody with the link...Kindly help please wengine tuko mbali na tunapenda nchi yetu regardless ya madudu ya viongozi wetu wanavyodumaza soka letu
No link ss9 wameipiga pembeni wanaonyesha ya malawi na angola. Ila bado bila bila. Check second to seclnd results via BESCORE APP
 
Anagalia tu matokeo mubashara kupitia app ya bescore nenda jwenye competitions andika cosafa weka on halaff all matches utapata kinachoendelea kila second
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom