Live STAR TV : AZAM FC vs JKT RUVU

Live STAR TV : AZAM FC vs JKT RUVU

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Azam wameanzisha uhusiano na Star tv kuonyesha mechi zao. Hongera azam fc na star tv
ukitaka maendeleo ya soka njoo azam fc na ukitaka ushabiki wa soka nenda simba au yanga
 
umeona enheee...
 
hawa lazima watie akili kwanini watu tunacheza kombe la shirikisho..

go azam go azam go azam..
 
Hahahah...leo nasikia mnakinukisha, hadi sasa mpo mbele kwa magoli manne
 
mpira umekwisha azam 4 jkt ruvu 0, sasa azam inaipumulia yanga uko juu
 
simba vs yanga mpira wao unachezwa kwenye magazeti hamna chochote.miaka yote kazi kupiga domo.hamna hata huwanja ni haibu haibu klabu ya azam leo inamaendeleo.na imekuja juzitu.nilicheka sana walipo ikataza star tv.isirushe mechi zao live heti wanakosa mapato.yani hawa ni mambulula kweli.nani leo anategemea mapato ya milangoni.sasa wamebaki kuzomea azam.wivu mtupu.bg up azam.
 
kazi imeisha tunawasubiri yanga na wao wajionee azam mpya sio ile ya msimu wa kwanza..

Hala Azam FC
 
simba vs yanga mpira wao unachezwa kwenye magazeti hamna chochote.miaka yote kazi kupiga domo.hamna hata huwanja ni haibu haibu klabu ya azam leo inamaendeleo.na imekuja juzitu.nilicheka sana walipo ikataza star tv.isirushe mechi zao live heti wanakosa mapato.yani hawa ni mambulula kweli.nani leo anategemea mapato ya milangoni.sasa wamebaki kuzomea azam.wivu mtupu.bg up azam.

azam ni club inayojielewa kiukwel inafanya mambo yake kisasa imeamua kujitangaza. Simba na yanga hawatak mech zao zile live katika karne hii, ni aibu juzi mechi ya simba na libolo wa2 wanasikiliza kwenye radio, viongoz hajielew kwa kweli
 
Na mke mwenzenu ameishiaje na wajelajela, au hakucheza leo?

mkuu angalia ma2mizi yako ya lugha, unaweza kuchezea makofi muda wowote, simba(wazee wa libolo) wameshinda 1 bila dhidi ya prisons bao pekee la kiemba, ukiwa ushindi wake wa kwanza nje ya temeke
 
Mtanunua mechi zooote, lkn ya Yanga hainunuliki. Jumamosi tutawadunga 2-0 gap linarudi hapo hapo

tutanunua na hiyo ili mnyonge refa uwanjani maana simnajifanya wanakarate subirini na chengine mpira kama unanunuliwa kwanini na nyie msinunue gemu ya mtibwa poleni sana ndio mpira kama milani kailaza barca sembuse azam kuifumua yanga..
 
Back
Top Bottom