LIVE:sherehe za uhuru wa JMT

mkuu isijekuwa na ushabiki umeingia kwenye hili jambo!
 
wapi ndugu yangu wewe, HAKUNA KITU KAMA HICHO NCHI HII!
 
mimi sidhani kama kuna nchi duniani iliyo-makini inasheherekea uhuru kama TZ.
kuwapigia wanajeshi wakofi, wakati wa gwaride. then, raisi anaenda zake kulala ikulu.
wakati uku nyuma kila mwanachi analia shida na umaskini wa kutupa.
mi nadhani, siku ya uhuru ni kutoa tathmini ya maendeleo ya nchi, na kuanisha mipango mipya,.
na sio kupigia makofi wanajeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…