Mkuu hiyo habari yako siyo informative, hili jukwa watu tunajua mpaka aina ya kokote zilizo tumika, kiasi cha mkopo na riba itakayo lipwa achilia mbali, idadi ya wafanya kazi kutoka China waliojenga na ambao watukuwepo kwa miaka 10 ijayo, hasara ya kutumia diesel (Kenya) na faida za kutumia umeme (Tanzania). Hiyo ya Kenya imeanza kazi 31/05/2017 hii ya Tz ina tegemewa kuanza kazi June 2019. Wewe kaa mkao wa kula mid 2020 una eza uka fika Dom ndani ya masaa mawili na nusu.
Kwani mashindano kaka? Mbona hata kwenye individual level, wengine wanajenga nyumba wakiwa 20s wengine 30s wengine 40 etc. Kila mtu anajenga kulingana na uwezo na fursa. Siku zote jilinganishe na malengo yako uliojiwekea, plans - to - actual investigation.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.