Live Score-Twiga Vs Zimbabwe

Kwa nini Tanzania siku hizi haina cha kujivunia? Kila kitu tumekuwa wa hovyo why?
 
Akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa TFF uliopo Karume, Nasra amesema ana waheshimu Zimbabwe wana timu nzuri, ndani ya miaka minne wameshacheza nao zaidi ya mara nne, mapungu yaliyojitokeza katika michezo iliyopita wamefanyi kazi na hivyo kesho ana imani watafanya vizuri.
1-1-1.jpg
 
Tangu Mzee Mwinyi alipothibitisha kwamba 'Tanzania ni kichwa cha Mwendawazimu' sijawahi kuwekeza hisia zangu kuzishabikia timu za Tanzania maana kichwa cha mwenda wazimu yeyote aweza kunyoa
 
nimeshaandika mpira umekwishaaaaaaaaaaa nasubiri kipyenga tu
 
hivi kwa nini yule kocha wa awali (kaijage kama sijakosea) aliamua kubwaga manyanga chini...
sijui sana ingawa alitoa sababu lukuki juu ya uendeshaji wa timu kwamba haiangaliwi kwenye kambi wanakuwa kama watoto wa mtaani
 
Back
Top Bottom