Ila naye anapenda public stunt sana. Apunguze kidogo. Ila kazi anafanya, mpaka Rotich jasho linamtokaWatumishi wa umma kama DPP Noordin Haji ndio viongozi ambao tunahitaji nchini Kenya. Watu ambao wanasimamia haki, na confidence bila wasiwasi na janja janja nyingi. Hongera zake.
wema au wanalipiza za yule mbunge jaguar kuharibu? Kama zilikamatwa wahusika wapo wapi? au tausi wanahusika?Heko hongereni hapa mmekuwa wema!
Wacha utani baba that's a good gesture! Needs kudos. Wezi wako mahakamani na kesi zao zilikwama kisa ushahidi wa vielelezo hivi.wema au wanalipiza za yule mbunge jaguar kuharibu? Kama zilikamatwa wahusika wapo wapi? au tausi wanahusika?
ulitaka wahusika pia waandamane na dhahabu?? wapo kamiti maximum wananyea ndoo pale wakingoja hatma yao.wema au wanalipiza za yule mbunge jaguar kuharibu? Kama zilikamatwa wahusika wapo wapi? au tausi wanahusika?
Sidhani ni publicity stunt. Anaangaziwa sana kwa sababu ya kazi nzuri anayofanya na ujasiri wake pia. Kama ni publicity, angekuwa ametangaza wiki iliyopita kwamba anarudisha dhahabu.Ila naye anapenda public stunt sana. Apunguze kidogo. Ila kazi anafanya, mpaka Rotich jasho linamtoka
Hiyo ni transparency mkuu. Kuna vitu vingi sana vjneongelewa hapoIla naye anapenda public stunt sana. Apunguze kidogo. Ila kazi anafanya, mpaka Rotich jasho linamtoka
Pia kulikua na hela takriban $80,000 zilizoibiwa kutoka kwa benki ya NBC mwanza na mshukiwa wa uizi wa hizo hela alikimbilia Kenya ambako ndo alishikwa na baada ya uchunguzi pesa hizo zikapatikana , Mshukiwa inasemekana ako kotini Mwanza.... Ukiregesha hio video nyuma inaweza kuangalia hotuba yote .....wema au wanalipiza za yule mbunge jaguar kuharibu? Kama zilikamatwa wahusika wapo wapi? au tausi wanahusika?
Heko hongereni hapa mmekuwa wema!