LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA MADINI YALIYOKAMATWA KENYA

Wakenya walikuwa wanasema tz tunaichukia Kenya bila sababu sababu ilikuwa ni hii serikali ya Kenya na mafisadi wa kimataifa waliokuwa wamejificha Kenya huku wakishilikiana na serikali ya Kenya kuujumu tz ,Ila kwaili inaonyesha Kenya imeanza kuonyesha njia njema
Acha kujiabisha bure, hizo dhahabu na hela zilinaswa zikisafirishwa na mtanzania mwenzenu kwa jina Patrick Ayisi Ngoi. Alizipitisha kutoka Mwanza kwa ushirikiano na mafisadi kutoka kwa vitengo vyenu vya usalama. Wazee wa ndemi na mathathi hawakukosea waliposema kwamba kikulacho ki nguoni mwako.
 
Pia kulikua na hela takriban $80,000 zilizoibiwa kutoka kwa benki ya NBC mwanza na mshukiwa wa uizi wa hizo hela alikimbilia Kenya ambako ndo alishikwa na baada ya uchunguzi pesa hizo zikapatikana , Mshukiwa inasemekana ako kotini Mwanza.... Ukiregesha hio video nyuma inaweza kuangalia hotuba yote .....
Sio Mwanza bali NBC Moshi
 
Magu kiboko kudadadeki..

Itakuwa hapa Uhuru kapigwa lile beat LA kimataifa..

"NOT TO THAT EXTENTS.!" rudisha hayo madini ndani ya saa24 vinginevyo nakuibukia!!

*Hongera kwa Uhuru...maana Moses Wetangula asingeyaacha
not that extents

"..Mlinichagua ili niwafanyizie kazi..."
 
Magu kiboko kudadadeki..

Itakuwa hapa Uhuru kapigwa lile beat LA kimataifa..

"NOT TO THAT EXTENTS.!" rudisha hayo madini ndani ya saa24 vinginevyo nakuibukia!!

*Hongera kwa Uhuru...maana Moses Wetangula asingeyaacha
Acheni ushabik wa kimaandazi. Magufuli alishukuru vitengo vya usalama vya Kenya kwa kunasa dhahabu hiyo kabla haijafika Dubai(zilikuwa zinasafirishwa kuenda Dubai). Alihoji pia kuhusu utepetevu wa vitengo vya usalama vya Tz. Akiuliza ilikuwaje dhahabu zikasafarishwa kote huko hadi zikafika Mwanza na hatimaye Nairobi. Mbaya zaidi ni kwamba aliyeiba dhahabu hiyo ni mtanzania. Jina lake Patrick Ayisi Ngoi.
mkendelea hivyo, kukataa kuwa hot bed ya primitive capitalists (who obtain wealth by plundering and robbery) tutakuwa ndugu. Mtashangaa tumefungua boda zetu nanyi muingie na tikiti ya basi tu.
 
Acheni ushabik wa kimaandazi. Magufuli alishukuru vitengo vya usalama vya Kenya kwa kunasa hizo dhahabu kabla hazijafika Dubai(zilikuwa zinasafirishwa kuenda huko). Alihoji pia kuhusu utepetevu wa vitengo vyenu vya usalama. Akiuliza ilikuwaje dhahabu zikasafarishwa kote huko hadi zikafika Mwanza na hatimaye Nairobi. Mbaya zaidi ni kwamba aliyeiba dhahabu hiyo ni mtanzania. Jina lake Patrick Ayisi Ngoi.

Mimi sifanyi ushabiki. Naongea uhalisia. wewe unafikiri kitendo cha mtu kukukamatia mwizi wako (hasa hasa anayekuibia demu wako 🤣 🤣 :p:)) siyo kidogo. Ni jambo kubwa. Uhuru akiendelea kufanya hivi, he may try to clear the myth.
 
Wananchi wanahitaji kujua rais wao anafanya. Siyo kuanza kuwambia wakati wa kampeni. Wakati wa kampeni ni kuwakumbusha tu aliyoyafanya.
Ila naye anapenda public stunt sana. Apunguze kidogo. Ila kazi anafanya, mpaka Rotich jasho linamtoka
 
Acha kujiabisha bure, hizo dhahabu na hela zilinaswa zikisafirishwa na mtanzania mwenzenu kwa jina Patrick Ayisi Ngoi. Alizipitisha kutoka Mwanza kwa ushirikiano na mafisadi kutoka kwa vitengo vyenu vya usalama. Wazee wa ndemi na mathathi hawakukosea waliposema kwamba kikulacho ki nguo mwako.
Unajua walikuwa wanapeleka Kwa nani kwanini mlishikilia had I magu kanyooshea kidole Kenya ndiyo mnayaleta tz
 
Huu ndiyo undugu wa kweli.jpeg


Huu ndiyo undugu wa kweli.
 
yaani hadi marais wawili wamekubali uhusiano mzuri wa nchi yao mbili ila humu ndani kuna wabishi wanajifanya kupinga kila kitu Kiwe kizuri au kibaya.
 
Move it's loading!!! Hakuna jipya ila kenyata umeingia mkenge! Umeharib cv yako
Sidhani ni publicity stunt. Anaangaziwa sana kwa sababu ya kazi nzuri anayofanya na ujasiri wake pia. Kama ni publicity, angekuwa ametangaza wiki iliyopita kwamba anarudisha dhahabu.
 
Back
Top Bottom