LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA MADINI YALIYOKAMATWA KENYA

Watumishi wa umma kama DPP Noordin Haji ndio viongozi ambao tunahitaji nchini Kenya. Watu ambao wanasimamia haki, na confidence bila wasiwasi na janja janja nyingi. Hongera zake.
Ila naye anapenda public stunt sana. Apunguze kidogo. Ila kazi anafanya, mpaka Rotich jasho linamtoka
 
Ila naye anapenda public stunt sana. Apunguze kidogo. Ila kazi anafanya, mpaka Rotich jasho linamtoka
Sidhani ni publicity stunt. Anaangaziwa sana kwa sababu ya kazi nzuri anayofanya na ujasiri wake pia. Kama ni publicity, angekuwa ametangaza wiki iliyopita kwamba anarudisha dhahabu.
 
wema au wanalipiza za yule mbunge jaguar kuharibu? Kama zilikamatwa wahusika wapo wapi? au tausi wanahusika?
Pia kulikua na hela takriban $80,000 zilizoibiwa kutoka kwa benki ya NBC mwanza na mshukiwa wa uizi wa hizo hela alikimbilia Kenya ambako ndo alishikwa na baada ya uchunguzi pesa hizo zikapatikana , Mshukiwa inasemekana ako kotini Mwanza.... Ukiregesha hio video nyuma inaweza kuangalia hotuba yote .....
 
Delegation ni kubwa sana, hilo la dhahabu ni dogo ukilinganisha na mengine yaliyowaleta, wanahitaji chakula haraka sana, na pia wanahijati nishati ya gesi...
1.7 Million USD ni pesa ndogo kwako???
 
mkendelea hivyo, kukataa kuwa hot bed ya primitive capitalists (who obtain wealth by plundering and robbery) tutakuwa ndugu. Mtashangaa tumefungua boda zetu nanyi muingie na tikiti ya basi tu.
 
Magu kiboko kudadadeki..

Itakuwa hapa Uhuru kapigwa lile beat LA kimataifa..

"NOT TO THAT EXTENTS.!" rudisha hayo madini ndani ya saa24 vinginevyo nakuibukia!!

*Hongera kwa Uhuru...maana Moses Wetangula asingeyaacha
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom