Live Music ina ladha yake

Live Music ina ladha yake

herman joshua

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
1,982
Reaction score
3,248
Nilikuwa nacheki Live Show music ya R. Kelly , nikaja kuangalia ya Jay Z , Beyonce, JLo & Eminem, nimegundua ni kwanini wenzetu wajaza sana kwenye show zao.

Mziki wa live ni mtamu jamani
 
ukimaliza hao,kamcheki bi kidude.....
 
muziki wa live huwa napend nimtazame lil wayne daah yupo vizur san stejin pia kuna kendrick nae hatar mno
japokuw wapo wengi
 
Angalia live show ya DJ Arafat .
 
muziki wa live huwa napend nimtazame lil wayne daah yupo vizur san stejin pia kuna kendrick nae hatar mno
japokuw wapo wengi
lil Wayne mhuni sana,akiingia stejini ameshasizi mibangi ana confidence kama yote
 
Mcheki na my girl Riri, ukimaliza nenda Bongo kawaangalie wakina twanga pepeta na Akudo Sound (sijui bado wapo hawa! Lol)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom