Live: Mukama on Mlimani Tv

haina mashiko tena!
bora alime mchicha,karoti na pilipili hoho atavuna kuliko magamba
 
Mkama hajaona purukushani zozote ndani ya ccm kuelekea 2015
 
Mtujuze maana mi nimetune ITV kuna malumbano ya hoja juu ya mswaada wa uundwaji wa katiba mpya.kuna Nkya na Bubelwa kwenye meza kuu.laikini anayoyasema mkama ni maandalizi ya mkutano wa NEC dodoma hivyo wanajaribu kuivuta jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…