LIVE-Marathon Olympic-Tanzania karata yetu ya mwisho

Ila wabongo wanapakaza, angalau tuwaone tu kwenye tv tutaridhika, sasa wao hata kuwaona hatuwaoni. sasa tutaamini vipi kama kweli wameshiriki!!!
 
Naangalia ktk ss 4 simuoni mbongo kabisaaaa! wametoa orodha ya watu 30 wliopo mbele hata hayumo! sijui kabana sehemu anakunywa maji or!

yupo mmoja namba 39 sasa hivi,ndio ameanza kuwavuta sasa,
TZ GO
TZ GO
TZ GO
TZ GO
we must take back our Gold today
 
Hadi sasa ndgu zetu faustin mussa niwa 38 na ramadhani samson ni wa 66
Ila wabongo wanapakaza, angalau tuwaone tu kwenye tv tutaridhika, sasa wao hata kuwaona hatuwaoni. sasa tutaamini vipi kama kweli wameshiriki!!!
 
I wonder how much it will cost to train our long distace runners in Eldoret Kenya, get them to know the ins and outs of the sport.
 
Mimi nadhani next time kwenye olympic inabidi wabongo tuwaambie wahakikishe kilomita kumi za kwanza wanakuwa mbele, it doesnt matter kama hawatamaliza mbio lakini tunataka angalau kuwaona kwenye TV. Kwa hiyo wao wawe wanaanza kama wanakimbia robo marathon, then wanachoka wanakaa pembeni ila tutakuwa tumeshawaona kwa luninga. Sasa muda wote tunamuangalia Kiprotich tu bana!!!
 
Ila wabongo wanapakaza, angalau tuwaone tu kwenye tv tutaridhika, sasa wao hata kuwaona hatuwaoni. sasa tutaamini vipi kama kweli wameshiriki!!!

Mpaka sasa km 21, Mussa Faustine yuko No. 38 na Samson Ramadhani No. 68
 
Mpaka sasa km 21, Mussa Faustine yuko No. 38 na Samson Ramadhani No. 68

Matumaini ya kucatch up ni sofuri. Mimi sitaki mpaka washinde, mradi tu tuweaone kwenye TV. Just imagine unaenda kwenye graduation ya mwanao haalfu humuoni akiitwa kuchukua cheti, hata kama hajapata zawadi yoyote!!! I mean kutokuonekana kwenye luninga haijakaa fresh banaaaaaaaaa...
 
I wonder how much it will cost to train our long distace runners in Eldoret Kenya, get them to know the ins and outs of the sport.

Mkuu hawahitaji kwenda Eldoret wakati mazingira ya aina hiyo yapo huko Mbulu. Tatizo la wanariadha wa hapa wanapenda kuishi na kufanyia mazoezi mjini ambako hakuna mazingira stahiki kwa long distance runners.
 
Mimi nadhani next time kwenye olympic inabidi wabongo tuwaambie wahakikishe kilomita kumi za kwanza wanakuwa mbele, it doesnt matter kama hawatamaliza mbio lakini tunataka angalau kuwaona kwenye TV. Kwa hiyo wao wawe wanaanza kama wanakimbia robo marathon, then wanachoka wanakaa pembeni ila tutakuwa tumeshawaona kwa luninga. Sasa muda wote tunamuangalia Kiprotich tu bana!!!

Inasaidia kutangaza nchi. Wakenya wanapoingiza mamilioni ya watalii kila mwaka,moja ya njia ya kujitangaza ni kupitia wanariadha wao.
 
Kwa sasa Kiprotich anafuatiliwa kwa karibu na Samuel Kirotich wa Uganda Mkenya mwingine Karui na MuEthiopia Ashbero.
 
Hivi wabongo wanafanyiaga mazoezi wapi? mbona sijawahi kukutana nao maeneo yoyote wakifanya mazoezi?

Si rahisi kukutana nao hata siku mmoja kwani unapofanyia wewe mazoezi ni tofauti na wanapofanyia wao. Yawezekana unapofanyia wewe pana mandhari nzuri ya kiushindiushindi uwamegee hiyo siri ili walau miaka ijayo tupate walau medali ya shaba. Au ukiona namna gani tia maguu wewe mwenyewe olimpiki ya 2016
 
Back
Top Bottom