LIVE-Marathon Olympic-Tanzania karata yetu ya mwisho

LIVE-Marathon Olympic-Tanzania karata yetu ya mwisho

Napapasa macho kwa nguvu zote, lakini simuoni mbongo hata mmoja!!!
 
Hivi wabongo wanafanyiaga mazoezi wapi? mbona sijawahi kukutana nao maeneo yoyote wakifanya mazoezi?
 
mpaka sasa ishakuwa clear kuwa wa kuchuka medali hapa ni Kenya, Ethiopia, Uganda au Brasil.
 
leo lazima tuchukue gold yetu,si wameipeleka UK ili tukagombanie kwa kukimbizana,sasa leo ndio leo hata kwa uchawi lazima tubebe gold yetu kutoka mwanza
 
Kundi la mbele kuna waKenya 3, Ethiopia 2, Eritrea 1 na Brazil 1. wako km. 15 sijaona Mbongo akionyeshwa.
 
Watanzania nadhani hawamo ktk marathon,pengine tulipeleka wagonjwa!
 
The Boss seriously, dont
be so pessimistic. OK on second thought tutapata medali kweli? Angalau
kabronze.

Naangalia ktk ss 4 simuoni mbongo kabisaaaa! wametoa orodha ya watu 30 wliopo mbele hata hayumo! sijui kabana sehemu anakunywa maji or!
 
Back
Top Bottom