UkomboziMpya
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 465
- 179
tatizao la huyu Mkombozi atakuwa mchagga ambapo ni kiswahili kiliwapiga chenga
tatizao la huyu Mkombozi atakuwa mchagga ambapo ni kiswahili kiliwapiga chenga
huwezi kusema gari linawaka na ukalipanda UKIUNGUA?
km hakuna Fire-extinguisher teremka panda lingine
Dr Slaa kwaambieni ukweli vijana mnabebwa tu na hamjui mnakoenda
mwenzenu kapanda Pipa na haliwaki linapepea
![]()
Heri yako si mchagga na unajua kiswahili.Kwenye nyekundu tafadhali unapandaje pipa?Pipa la maji au????????????
Dr Slaa kavunja chungukamwaga mboga umemwaga ugalu
Heri yako si mchagga na unajua kiswahili.Kwenye nyekundu tafadhali unapandaje pipa?Pipa la maji au????????????