Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,504
- 11,737
Tunapaswa kuwa makini na elimu wanayopewa watoto wetu madrasa na sunday school. Mafundisho mengine ni sumu kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto, yanaua ari ya udadisi, kujifunza, kujiamini na yanapandikiza hofu na woga vinavyo muathiri mtoto kisaikolojia.Huu ni utoto wa hali ya juu. Kwa hiyo Mungu anafanya kazi na mapepo?
Jehanamu yako hiyo iko kwenye miliki ya Mungu au ya mapepo walio na vitengo vya kutesa?
Upuuzi kama huu alikuwa akihubiri mpuuzi mmoja Wa TAG alikuwa anajiita Askofu Emanuel Lazaro. Mahibiri yake yalikuwa yamejaa hadithi kama hizi za kusadikika na alifanya utoto wangu uwe wa uoga sana. Sitakaa nimsamehe hata kama amekufa mpumbavu yule.
Alifanya hata niogope kuchinja sungura wangu niliokuwa nikiwafuga.