Hiki ni kituko cha mwaka, unagombea katika jimbo ambalo huwezi kujipigia kura!! Hapo nina uhakika hata wizi wa kura utaDONT ili kulinda heshima ya wana Meru
Mkuu ukistahajab ya mussa utaona ya firauni katika familia ya marehemu sumari ni yeye peke yake ndiyo alikuwa amejiandikisha arumeru.pata picha!
Sasa hivi unashughuli maalumu!!!Una mahaba na CCM kama TBC1 na magamba mwisho wenu umekaribia.
Kaka mimi taanza kufunguka saa 12 jioni saizi uwanja wenu.
Ndugu yangu naona umeamua kuripoti kwa mahaba mazito angalizo jioni ya leo usije na kauli tofauti, wapiga kura wenyewe hata laki moja na nusu hawafiki 80,000 ni CCM. endelea kuwajaza wenzako matumaini.
Chonde chonde mkuu utujuze matokeo fasta!
komba,umeshawaza kwa nn huu uchaguz mdogo hivi wameleta FFU pekee,na wapo kupita kiasi.kuna amani kweli,naogopa hata kwenda misele
Danganya wapumbavu sio sisi. Mimi jana nimezunguka kuanzia Kingori hadi Shangarai karibu na daraja la mto Nduruma kuangalia upepo. kusanyiko kubwa nilikuta pale Tengeru na leganga nalo ni la wana CHADEMA tu pale Kingori ndo nilikuta bendera za kijani kwenye miti na kidogo pale kikatiti lakini kuanzia Maji ya Chai, Usa mjini, Leganga, makumira mpaka Tengeru sikukutana na kitu cha kijani bali vijana wengi wa CDM na almost kila pikipiki kuanzia usa hadi Kwa ngulelo zilikuwa na bendera za CDM na hamasa ilikuwa kubwa kama watu wanaosubiri ujio wa kitu wakipendacho kwa hamu. Ninayosema nimeona mimi kwa macho yangu.
Usijifariji ndugu jimbo limeondoka hilo acha siasa za kujipa matumaini.
Nimefurahishwa na mwamkoa wa wananchi katika kujitokeza kutumia aki yao ya msingi nikiwa miongoni mwao.nimefurahishwa na jinsi vijana wanavyoamasisha wenzao kwenda kupiga kura.
Nimetembelea zaidi ya vituo viwili achilia kituo changu hali ni shwari kila mtu yupo makini na kazi yake.
Big up tume vijana wapo shap nimetumia chini ya dakika tano kuakiki jina na kupiga kura.
Magari ya polisi yanarandaranda mitaani .
Stay tune...
komba,umeshawaza kwa nn huu uchaguz mdogo hivi wameleta FFU pekee,na wapo kupita kiasi.kuna amani kweli,naogopa hata kwenda misele
Hawa jamaa inaonekana wana mpango wa kufuata uraia wa mama yao, huenda ndio wanaompa pressure Membe (Joka la Mdimu) aruhusu uraia wa nchi mbili. Wako kimaslahi zaidiMkuu ukistahajab ya mussa utaona ya firauni katika familia ya marehemu sumari ni yeye peke yake ndiyo alikuwa amejiandikisha arumeru.pata picha!
Nimefurahishwa na mwamkoa wa wananchi katika kujitokeza kutumia aki yao ya msingi nikiwa miongoni mwao.nimefurahishwa na jinsi vijana wanavyoamasisha wenzao kwenda kupiga kura.
Nimetembelea zaidi ya vituo viwili achilia kituo changu hali ni shwari kila mtu yupo makini na kazi yake.
Big up tume vijana wapo shap nimetumia chini ya dakika tano kuakiki jina na kupiga kura.
Magari ya polisi yanarandaranda mitaani .
Stay tune...
jamani msi2angushwe tunawategemeeni sanaMkuu huku mambo yanakwenda shwari kabisa vijana wameamasika sana na watu wanashindwa kujizuia wanaonyesha furaha baada ya kutizima haki yao ya msingi.
Stay tune
Shukurani kwa taarifa mzee na matokeo pia jinsi yatakavyokuwa yanatoka pia 2juze ila msituangusheWanabodi naomba niwakumbushe idadi ya kata na vituo
1. Akheri-20
2. Kikatiti- 18
3. Kikwei-11
4. King'ori-26
5.leguruki-20
6.Makiba-18
7.Maji ya chai-29
8. Maroroni-17
9.Mbuguni-21
10.Ngarenanyuki-20
11. Nkoanrua-22
12. Nkoaranga - 17
13. Nkoarisambu - 8
14. Poli - 16
15. Seela-sing'isi -12
16. Songoro - 15
17. Usa river - 26
Jumla ya vituo vya kupigia kura ni 327.
Naomba kuwasilisha samahani kwa wale wanaokereka.
watasema yote we subiri 2 .... upigaji kura uisheKamanda andengenye aipatiza CDM jina jipya eti Chama cha Demokrasia na Maandamano!ulimi auna mfupa!
Shame on you andengenye
hamna wana usalama wa cdm hapo karibu ndugu yangu wamchukulie ha2 huyo jamaaMkuu kuna jamaa mmoja amekaa karibu na kituo chakupigia kura Usa river anawatisha vijana kuwa wote walikipigia kura CDM watakiona cha motto!
Mytake:kura ni siri ya mtu na haki ya msingi hivi vitisho vinatoka wapi?
Kamanda andengenye aipatiza CDM jina jipya eti Chama cha Demokrasia na Maandamano!ulimi auna mfupa!
Shame on you andengenye