There you are bring the news.
Mkuu tujulishe juu ya malalamiko niliyoyasikia toka wapo radio fm 98.00 kupitia kwa mtangazaji wake anton joseph akimuhoji nasari kuwa mawakala wa cdm km wa vituo 6 ivi walizuiwa kuingia vituoni, vipi ili tukio limejitokeza pia apo au kuna unalolijua??
hilo nimelisikia pia mkuu,najaribu kufuatilia kwenye source ya uhakika.
Mkuu hakikisheni matokeo yanajulikana mapema iwezekanavyo!! Yakichelewa, basi tusahau tena hadi 2015.
Wakati jeshi la ardhini wakifanya doria na magari chopa ya CDM ipo hewani kwa doria.
Hatoki mtu leo ni mwendo wa nakozi ya pua tu!
Inakuwaje mtu anatishia wapiga kura halafu anaachwa hivi hivi? Huo ni uvunjifu wa sheria. Ccm hii ya Kikwete wako tayari kuua au kuona wananchi wanakufa ili mradi wapate ushindi. Roho kama hiyo alikuwa nayo pia Iddi Amin Dada na Mobutu Sese Sseko hapa Afrika. CCM wameishafika huko kwa tamaa ya madaraka waliyonayoMkuu kuna jamaa mmoja amekaa karibu na kituo chakupigia kura Usa river anawatisha vijana kuwa wote walikipigia kura CDM watakiona cha motto!
Mytake:kura ni siri ya mtu na haki ya msingi hivi vitisho vinatoka wapi?
Ndugu yangu naona umeamua kuripoti kwa mahaba mazito angalizo jioni ya leo usije na kauli tofauti, wapiga kura wenyewe hata laki moja na nusu hawafiki 80,000 ni CCM. endelea kuwajaza wenzako matumaini.