RC Makonda aandaa Iftar kwaajili ya wakazi wa Dar es salaam

Batili tupu haya mambo ni kinyume na dini ya uislamu kabisa.Tangu lini mkristo akamfuturisha muislam ni aya gani katika Quran au hadithi sahihi iliyoelekeza hivyo?
Masheikh wanauelewa uislam kamwe hawawezi hudhuria tamasha hilo
Kuna watu wanatumia nguvu kubwa sana kuonekena ni wasafi mbele ya jamii na kutumia shida za watu kama ngazi ya kisiasa

Mkristo anaweza kumfuturisha muislamu kama chakula hicho ni halali isiwepo chakula haramu kama nguruwe na nyama isiochinjwa ukithibitisha chakula halali unakula ina kubalika hoteli ngapi za wakristo ukiwa safari unakula nini tofauti yake. ila sema yeye hapati thawabu kwa kuwa ni mkristo ila mungu anamlipa mema yake hapa duniani tena kwa taarifa yako hutuba ya ijumaa ya juzi tarehe24/5/2019 sheikh kazungumzia mkristo unaweza kumfuturisha miuslamu ila isiwepo pombe nguruwe nk vya haramu waislamu tuhudhurie darsa misikitini mnawahi mipira ya manchesta
 
Jee kuna muislam anayemfuturisha mkristo wakati wa kwaresma?funga ni ibada kila dini ina ibada zake.Kumbuka kuna dua kabla ya kufuturu
Mkristo akikupa futari siyo futari hiyo ni mlo tuu kama mlo mwingine
 
JIBU KWANZA IBADA NI NINI KWA MUJIBU DINI YA KIISLAM?
Jambo lolote la Kiislaam, lililo amrishwa kufanywa kisheria (au kwa fatwa) kwa ajili ya kuabudu (ibada) au kujipendekeza kwa Mwenyezi Mungu.
 
Mbona mbio kama unaharisha...Hebu tulia uje na habari inayoeleweka...Lazima utakuwa umesoma shule za kata au chuo cha kata SAUT, UCC, St Joseph and the likes wanaotoa products za hovyohovyo ambao hamuwezi hata kuandika.
Watu kama nyie mtaani ndo maisha yanawagonga kwelikweli. Nakuonea huruma
 
Mbona mbio kama unaharisha...Hebu tulia uje na habari inayoeleweka...Lazima utakuwa umesoma shule za kata au chuo cha kata SAUT, UCC, St Joseph and the likes wanaotoa products za hovyohovyo ambao hamuwezi hata kuandika.
DAH...sasa kakosea wapi au wewe umesoma Makerere? kumwambia mtu kakosea au kumkosoa mtu bila kumuonyesha wapi alipokosea NADHANI mkosoaji utahitajika ujiangalie wewe kwa makini.

Hivyo vyuo ulivyotaja una uhakika vinatoa Product mbovu? Ebu sema umetoka chuo gani halafu tupambane kwa HOJA maana nimetoka kwenye MOJA ya vyuo ulivyotaja..

Matusi sitaki.. (nakusubiri)
 
RC Makonda aandaa Iftar kwaajili ya wakazi wa Dar es salaam,walio ALIKWA TU

JIPELEKE WEWE UONE KAMA HUJALA KWA MACHO
 
DAH...sasa kakosea wapi au wewe umesoma Makerere? kumwambia mtu kakosea au kumkosoa mtu bila kumuonyesha wapi alipokosea NADHANI mkosoaji utahitajika ujiangalie wewe kwa makini.

Hivyo vyuo ulivyotaja una uhakika vinatoa Product mbovu? Ebu sema umetoka chuo gani halafu tupambane kwa HOJA maana nimetoka kwenye MOJA ya vyuo ulivyotaja..

Matusi sitaki.. (nakusubiri)
Hapa itabidi tuanzishe thread mapya hahahahahahah
 
Karibuni sana!

Maendeleo hayana vyama!

Picha mbalimbali kutoka katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameandaa Futari iliyohudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Dini ya Kiislam, Viongozi wa Serikali, pamoja na wa Vyama vya Siasa.

View attachment 1107667View attachment 1107669View attachment 1107670
Mkristo anaandaje ftar ? Hyo haiswii. Hiyo héla si angeeandaa chakula kwa watumishi au bodaboda au hata wadau wa maendeleo
 
Back
Top Bottom