RC Makonda aandaa Iftar kwaajili ya wakazi wa Dar es salaam

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,932
141,894
Karibuni sana!

Maendeleo hayana vyama!

Picha mbalimbali kutoka katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameandaa Futari iliyohudhuriwa na watu mbalimbali, wakiwemo Viongozi wa Dini ya Kiislam, Viongozi wa Serikali, pamoja na wa Vyama vya Siasa.

FB_IMG_1558802179557.jpeg
FB_IMG_1558802169973.jpeg
FB_IMG_1558802153457.jpeg
 
Bila shaka ww ni mhitimu wa udsm course ya BaED, mnakuwaga proud sana na jina la udsm huku mmepangiwa shule za kata wilayan kilindi
Mbona mbio kama unaharisha...Hebu tulia uje na habari inayoeleweka...Lazima utakuwa umesoma shule za kata au chuo cha kata SAUT, UCC, St Joseph and the likes wanaotoa products za hovyohovyo ambao hamuwezi hata kuandika.
 
Mkuu hapa umefeli 😙😙😙.
St Joseph, na SAUT ni mara mbili ya UDSM kwa kutoa wanafunzi bora ambao sio lialia wa ajira
 
Back
Top Bottom