Katika kippindi cha jambo Tanzania wabunge watatu Joshua Nasari, Mkosamali na Esta Bulaya.
Esta Bulaya adai kukuwa kwa demokrasia tanzania waka ti mwezi may kuliendeshwa interview ya JKT ktk Mkoa wa SINGIDA.
Swali lililoulizwa kwa vijana wetu waliomaliza kidato cha sita ni hili, je ni mbuge gani ktk bunge la Tanzania ambae anakuvutia akiwa anachangia mada bungeni?.
Na wote waliotaja vijana wa upinzani wale machachari walipigwa chini na walioshitkia swali lile wakamtaja MCHEMBAMGURU walifauru interview, je hii ndiyo demokrasia anayoisema Esta Bulaya imekuwa Tanzania?
Wanajamiiforum tumsaidieni huyu binti huenda hajui maana ya demokrasia.