Wakuu kuna mechi inaendelea na hii ni dakika ya 4 Brazil na United Arabic Emirates,
Sijui wanagombea nini maana inarushwa na TV M*Msumbiji Hivyo lugha inayotumika
ni kireno, machache huwa naelewa lakini mengi ni chenga bado hawajafungana.
Dah maneno mengine kama kiingereza vileee, kama hii DIRECTO nimegundua ndio LIVE.