Live bila kaput

Wanaume wasiopitia hiki huchekwa sana hata kuoga mtoni ni sheedah
 
Ndo! Hivyo kumbe vjijini wanavyofanya,wakat hospital 2 watu wanakimbia huko je?
 
mkuu mpaka nimekalia nani yangu kwa nguvu duuu mbona maumivu makali aisee.............. kutahiri gani huko kama unakata kuni aiseee hapana

Imagine huyo mkataji kakosea position ya kukata. Nanii yote inaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…