LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

jamani msaada tunabishana hapa, ili aseno asonge mbele anatakiwa ashinde ngapi?
 
Gang Chomba kumbe wewe ndio umeachiwa mikoba na Shekh Yahya??
 
Last edited by a moderator:

Last edited by GangChomba today at 00:39 ( The game was over by then ) Prediction Arsenal 1 -3 Bayern Munich
 
Sidhani kama arsenal they can come up from the defeat,now they can just enjoy playing football but not expecting to win any trophy.
 
kipigo kilikuwa hakiepukiki kwa upande wa arsenal..cha msingi ni kuwa wavumilivu na kuzoea matokeo ya namna hii coz bado yataendelea kutukia
 
kwa mpira tu aseno wanajitahidi ila mbinu za kushinda hawana..

Hebu soma makamasi yako hayo, mpira upi wa kujitahidi usiokua na mbinu za kushinda? Kwani watu wanaingia uwanjani kusaka nini? Sasa kama hawana mbinu za kushinda wanakua wanajitahidi katika nini? Kufungwa?
 
Last edited by GangChomba today at 00:39 ( The game was over by then ) Prediction Arsenal 1 -3 Bayern Munich

Sio kweli hiyo prediction ilikuwepo kwa uzi wa kwanza zaidi, me natoa comment yangu ya kwanza mchana kwenye huu uzi prediction ilikua hivyohivyo.

Kama una maumivu ya LIBOLO Munich tafuta tu mtu akukande sio kuja kutoa ushuzi hadharani!
 
ulikuwa unaangalia au unasikiliza... chefu!!

Both,
naona we ulikua bize kutoa updates za match kama vile ulianzisha uzi wewe, Au ulizani hatuoni hiyo match mpaka ugeuke Halima Mchuka kujifanya commentator?
 
Last edited by GangChomba today at 00:39 ( The game was over by then ) Prediction Arsenal 1 -3 Bayern Munich

Umekurupuka bila kuchamba ona sasa Nzi wanavyo kufuata...
nime edit ili nikuwekee ofisi zangu za unajimu na utabiri zinapopatikana.
Tazama watu walioninakili hapo awali utagundua utabiri wangu ulikuwaje...
 
Sio kweli hiyo prediction ilikuwepo kwa uzi wa kwanza zaidi, me natoa comment yangu ya kwanza mchana kwenye huu uzi prediction ilikua hivyohivyo.

Kama una maumivu ya LIBOLO Munich tafuta tu mtu akukande sio kuja kutoa ushuzi hadharani!

Kakurupuka hajachamba...
Achana nae
 
Bad day at the office.........We are out of all Trophies this year............. We are not good enough...........We gonna get nothing in German.

WHATEVER HAPPEN. IN ARSENE, WE TRUST
 
Sio kweli hiyo prediction ilikuwepo kwa uzi wa kwanza zaidi, me natoa comment yangu ya kwanza mchana kwenye huu uzi prediction ilikua hivyohivyo.

Kama una maumivu ya LIBOLO Munich tafuta tu mtu akukande sio kuja kutoa ushuzi hadharani!

Mimi sio Gunners na japo sikutabiri kwenye jamii forums lakini nilijua gunners wanapigwa.niliona post ime kuwa edited dakika chache baada ya game nikatia mashaka na sikuona any comment reflecting the game zaidi ya results
 
Umekurupuka bila kuchamba ona sasa Nzi wanavyo kufuata...
nime edit ili nikuwekee ofisi zangu za unajimu na utabiri zinapopatikana.
Tazama watu walioninakili hapo awali utagundua utabiri wangu ulikuwaje...

Matusi ya nini mzee wa Milan, mpenzi wa Ronaldinho. Hauwezi kujieleza bila kuandika matusi? acha kuwa kama mshabiki wa kariakoo lindi!
 
Arsenal waliteseka sana jana!
Ubishi wa kocha wao pamoja na wamiliki wa timu ndo umewafikisha hapa.
Mashabiki wao wamezoea kujifariji kwamba wao ni "wazee wa burudani"..Uwezo wa Bayern Munich ni mkubwa sana!
Waliwazidi sana sana Arsenal, kwa nguvu, pasi za uhakika, kasi ya mpira..hawakuwa wakiwaruhusu Arsenal kupumua.

"Victory is won not in miles but in inches. Win alittle now, hold your ground, and later, win a little more"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…