Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
- Thread starter
-
- #341
Ha ha ha ha,, pamoja na sifa zote hizo ukilinganisha kikosi cha milan na barca haviendani kabisa,,
We forward shaarawy sijui pazini wenzako forward messi,
Katikati we una boateng sijui montolivo wenzako Xavi na Iniesta..
Beki una Abate sijui Zapata wenzako wana puyol, pique, bousquet, all about world cup/euro winners
Kitachotokea ni zaidi ya arsenal na bayern jana,, mtu mzima ataaibishwa Turati leo
Another thing is since 04/05 season the winners
have been
04/05 Liverpool(England
05/06 Barcelona(Spain)
06/07 Milan (Italy)
07/08 Man U (England) 08/09 Barcelona (Spain)
09/10 Internazionale(Italy)
10/11 Barcelona (Spain)
11/12 Chelsea (England)
12/13???? . No doubt it's Italy's turn & It better be
Milan.
katika hali ya kawaida Milana walikuwa disadvantaged,that is why kidogo ilishtua hata wewe nadhani ulishangaayaani Barca kufungwa inaonekana kma ajabu la dunia, kwel inatisha, wangefungwa kwao kama arsenal sijui ingekuaje!
katika hali ya kawaida Milana walikuwa disadvantaged,that is why kidogo ilishtua hata wewe nadhani ulishangaa
te te te te te we nakuaminia maana uliweza kusimama alone from the beginningMie usiniweke kwenye hilo kundi la walioshangaa...
Mie nilijuwa mapemaaa vile visichana msimu huu vitawafunga wasichana wenzao tu......
te te te te te we nakuaminia maana uliweza kusimama alone from the beginning
leo mnapiga na inter milan kwenye derby leo nipo milan kama kawaidaMie usiniweke kwenye hilo kundi la walioshangaa...
Mie nilijuwa mapemaaa vile visichana msimu huu vitawafunga wasichana wenzao tu......
leo mnapiga na inter milan kwenye derby leo nipo milan kama kawaida
Haya Gang Chomba,we mjanja bwana coz uli-manage kupiga sarakasi ukiwa umevaa kanzu,lakini ukienda kule camp nou usisahau ile pini uliyoitumia kubania kanzu maeneo ya msamba ukatuchanganya wenzio tukashindwa kujua umevaa kanzu au pensi nyanya.But usirudie tena ule mtindo wa kupaki basi pale nou camp coz wana catalunya wameapa kupasua vioo vya basi lenu,mpira unaingilia dirisha la kulia na kutokea dirisha la kushoto kitu wavuni mara nne mfululizo.