Litazame suala hili kwa jicho la tatu ..

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,582
Naandika haya si kwa kuwatetea wanaoghushi vyeti
1. Ana cheti feki lakini utaalamu wake unazidi mwenye cheti halisi.
2. Anatumia jina lisilo lake lakini utaalam ni wa kwake.
3. Anatumia jina / ubini ambao sio jina la baba yake wakati baba yake yupo.
4. Anajibandika kabla lisilo lake kwa sababu anazozijua mwenyewe.

Watu hawa unawaonaje?
 
Pumba tupu
 
Bado atawajibishwa kwa kugushi vyeti na kadhalika bila kujali weledi waka. Weledi au utaalamu hauwezi kuhalakisha kuwa na vyeti feki.
 
Yaaani nitoe figo zangu nimpe jambazi ili akazidi kuua watu mtaani!!!
Mi siwezi!!
 
Una habari watu wa namna hii ndo wamejazana kwenye sehemu nyeti serikalini? Na unajua sababu ni nini?
Kipi kifanyike?
Umemwongelea namba moja peke yake ... 2, 3, na 4 vipi?
 
Hivi mbona awali mlikuwa mnaunga sana mkono ule uhakiki wa vyeti!

Lakini sasa kwa sababu Bulshit hana vyeti halisi mnaanza kusema kinachoangalia ni Utaalamu?

Mkuki umepenya kwa Binadamu.

[HASHTAG]#Achenimanenowekenivyeti[/HASHTAG]
 
Ujajua kinachotakiwa kuongelewa ....
Kuna sekta flani ikiguswa kwenye mambo ya vyeti kutatokea mtafaluku mkubwa sana!
 
kumbe uhakiki wa watumishi wengine wa kada za chini ulikuwa ni ujinga,kwani ni bora tungeangalia ujuzi,uzoefu,vipaji vyao badala ya vyeti na uhalali wa majina yaliyokwenye vyeti...kama tunavyomtetea makonda!
oke,kumbe nimeelewa!
basi kama ni hivyo,basi warudisheni watumishi wote mliowatumbua kwa vyeti feki,au ukosefu wa vyeti na utofauti wa majina ya kuzaliwa na yale ya kwenye vyeti vya taaluma!
 
Harudishwi mtu ila kuna watu wanajulikana na hawataguswa kabisa, hapo ndo pepo la ubaguzi litakapokuwa limetamalaki kisawasawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom