Lisu ni msaliti anayejiamini sana

Lisu ni msaliti anayejiamini sana

Kijogoodi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
1,361
Reaction score
2,373
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga ambayo Tanzania tuna hisa 16% na kwenye top management ya kampuni wapo watanzania. Kupitia kampuni mpya ya Twiga watanzania wameendelea kupata gawio la mabilioni ya fedha kila mwaka zinazotokana na mauzo ya madini.
Lisu alilipwa na nani kuwadanganya watanzania?
------------ ------- ---------- --------
Dodoma. Sakata la makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea sh. 700 bilioni zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya makinikia badala ya sh. 360 trilioni ambayo ni madai halali kwa Tanzania?

Mpina amehoji swali hilo la nyongeza katika kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Alhamis, Septemba 22,2022.

“Kwa nini Serikali ilikubali kupokea sh. 700 bilioni kutoka katika kesi za malimbikizo ya madeni maarufu kama makinikia badala ya Sh360 trilioni ambayo ni madai halali katika nchi yetu?” amehoji.

Akijibu swali hilo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali haijakubali kupokea fedha hizo (Sh700 bilioni) na kuacha Sh360 trilioni, isipokuwa ilipeleka malalamiko kuhusu kampuni za madini.

Hata hivyo, kabla ya kumaliza kulijibu swali hilo, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson alimkatisha na kutaka ufafanuzi wa majibu ya Serikali yaliyotofautiana na swali la msingi lililoulizwa na Mpina.

Akijibu swali hilo, Waziri Mwigulu amesema Serikali haikupokea kimya kimya fedha hizo (Sh700 bilioni) na kuacha sh. 360 trilioni bali kilichofanyika ni kwa Serikali kupeleka malalamiko kwenye kampuni za madini.
 
Ni wajinga tu walio amini serikali kwenye 360 trilioni
 
We jamaa mbona unahangaika sana na Lisu na Miga, hebu tulia asee. Tumechoka ma Uzi Yako ya kitu kile kile wiki nzima Sasa. Hebu pevuka asee.

Yaani tangu Waziri wako akuthubitishie kuwa trilioni 360 ilikuwa ni ukichaa na undezi wa karne ulioaminishwa umekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa akiwa mzima unavyohangaika

Unaboa hata Kwa ccm wenzio
 
Msaliti anashambuliwa usiku na mchana
 
Msaliti anashambuliwa usiku na mchana
Nimeamini maneno ya huyu mzee. Hapa JF kundi hili mmeanza kuwa wengi ustaadhi Kijogoodi, au mnazaana kama nzige?
IMG-20220912-WA0036.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom