listen radio on your laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

listen radio on your laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mndengereko, Feb 25, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  wadau i knw there is a a way of listening radio on the computer plz kama kuna mtu anaijua hiyo software ambayo itakufanya usikilize radio anieleze plz au kama kuna njia nyingine yeyote au hata link pia kama inawezekana anitajie thanx in advnce
   
 2. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Kusikiliza radio inabidi ununue external TV tuner ambayo utapewa na cd kwa ajili kuinstall program na driver, TSH 45000.
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
 4. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nahisi kwa bongo si radio nyingi zinapatikana online. Lakini pia anaweza kusikiliza radio mpya ya Tone Radio-tz.

  Ila akitaka kusikiliza online radio, anaweza kugoogle atapata nyingi tu. Lakini pia anaweza kuinstall free software za radio mbona zipo nyingi tu. Au ajaribu hii ataenjoy sana tu.

  My take: Kama anataka radio za hapa bongo kwanini asinunue kasimu ka mchina atasikiliza offair tena free!!!!
   
 5. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  thanx jamani kwa michango yenu ila ipo software special inayokuwezesha kusikiliza local channels. ukigoogle nyingi ya software inakuletea ni za international radio tena inabidi usikilize online wakati hiyo software sema jina sikubahatika kulipata unaweza kusikiliza offline.
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  it is just simple to radio stations zilazorusha matangazo yao kupitia mtandao, na inawezekana kwa radio kama radio maria, choice fm, magic fm, clouds fm. pride fm, country fm, bongo radio (zilipendwa, east africa and taarabu) qiblaten fm, ebony fm of iringa, passion fm, jambo radio and others

  how to go about?
  download and install radiorage software as seen to the attachment snip, install the software when you are on line then it will install the new toolbar as seen in snip 1 and then click as shown in snip 2 hapo zitatokea radio stations zisizo za tanzania na chini yake kuna option ya seach, hapo type tanzania na zitatokea option 3 ambazo ni 1. all stations 2. dar es salaam 3. other results tanzania just choose option ya 3 na hapo utaona radio stations nyingi za tanzania just choose any of the radio and you will enjoy. i attach the radiorage software but i advice you download it yourself. remember to give feedback View attachment 48222 View attachment 48220 View attachment 48221
   
Loading...