tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,949
Kama ndugu hutojali nitumie jina la mhusika in box nikakuangalizie maana nikijaribu ku attach automatically sim inanipeleka kwenye video na screen shot, haikubali kunipeleka kwenye file...lakini nikiweza nitayabandika hapa ya nchi nzima ikiwemo hai, hata ukitaka ya wenye vyeti vyenye utata, kughushi nk nchi nzima nitakupatia tu