Dada yako hana mume wa kuhangaikia issue zake au yeye mwenyewe hajui wapi pa kupata hizo details?Nataka kumwangalia Dada angu anatatizo la cheti cha form 4
Hapana, yeye hajui aanzie wapi? Nilienda nae HQ NECTA wakasema wanashughulikia lakini bado tatizo lipo palepale, ameambiwa ajaribu kuangalia jina lake kama lipo kwenye list ya wenye vyeti incomplete that's why nahitaji kama kuna mwenye hiyo list ya halmashauri ya wilaya ya Hai au mkoa wa KilimanjaroDada yako hana mume wa kuhangaikia issue zake au yeye mwenyewe hajui wapi pa kupata hizo details?
Au wewe bado ni kula kulala kwa dada yako?
Usipanic nijibu kwa upole.
Sasa shemeji si umwambie dada yako aende kwa afisa utumishi wa halmashauri husika ili akapate hiyo orodha kwa haraka zaidiHapana, yeye hajui aanzie wapi? Nilienda nae HQ NECTA wakasema wanashughulikia lakini bado tatizo lipo palepale, ameambiwa ajaribu kuangalia jina lake kama lipo kwenye list ya wenye vyeti incomplete that's why nahitaji kama kuna mwenye hiyo list ya halmashauri ya wilaya ya Hai au mkoa wa Kilimanjaro
Maswali yako chokonozi, 'af yameenda shule, lazima awe mpole na akujibu kistaarabu.Dada yako hana mume wa kuhangaikia issue zake au yeye mwenyewe hajui wapi pa kupata hizo details?
Au wewe bado ni kula kulala kwa dada yako?
Usipanic nijibu kwa upole.
Sasa si apeleke vyeti upya kama anavyo, mbona case ndogo tu hii.Hajapata salary ya mwezi wa sita na wa saba, sasa amefatilia anaambiwa jina lake lipo kweny list ya incomplete
attach File ipo hapa chini baada ya Post Reply. Preview inafuataNinayo ila kwa bahati mbaya nimejaribu ku attach imeshindikana sasa sijui nakusaidiaje
Nimefanya hivyo ndugu ila imegoma, yamkini tatizo liko kwangu sasa sijui huyu mwenzetu nimsaidiejeattach File ipo hapa chini baada ya Post Reply. Preview inafuata
huko Hai kuna matatizo juzi tu kuna post ya Afisa Elimu Wilaya usijekuta wanamuwinda
kwanini mlalamikaji usitupe hilo jina la Sister?