List Ya Watu Ninaowakubali Duniani

List Ya Watu Ninaowakubali Duniani

Nlisahau yaani nsikufiche leo Evelyn salt ni mmoja kati ya watu ninaowakubali zaidi ha ha ha......

(HeartSpeak)
mmmh baada ya kuniona nimecomment hapa eeeh?
teh haya poa....thanks
 
List ndogo ya binadamu naowaheshimu
zaidi duniani.

1. MKANDARASI,
kwangu always hawa jamaa
ni the best....ukitaka kuamini we chunguza
majengo yanavotaka kumkaribia
Mungu....hapa najumuisha na contrctors iwe
civil ama electronics. .


2. MKEMIA, hawa jamaa ni noma sana
mazee....uwezo wakuimix oxygen na
hydrogen ukapata OH3 sio jambo dogo ati.

3. MPISHI,
Hapa najua utabisha lakini
formula yakuuconvert mchele kuwa wali sio
inshu ndogo...mjue...hapa wengi tumekuta
formula tu....respect kwa muasisi....


4. PRODUCER WA MUZIKI NA MTAALAMU WA
NOTA ZILE, najua utakubaliana na mimi kua
bila mziki wote tungekua marehemu.....mziki
noma bana, unaliwaza, unafariji na
unafurahisha....umewah ziona nota za mziki
zinavopangwa kwa keyboard ili zilete
melody....thats above science aisee......


Mimi ni hao tu sijui wewe...............

Umenisau kunitaja!
 
Nawakubali walionileta duniani, Najikubali mwenyewe pamoja na marafiki zangu wa ukweliiiiiiiiii
 
mama yangu mpendwa,na wamama wote waliowazaa members wa jf mpaka mtoa mada kupata nafasi ya kutoa yake ya moyoni.
 
Back
Top Bottom