List Ya Wanyakyusa Waliowah Kuzamia Marekani

List Ya Wanyakyusa Waliowah Kuzamia Marekani

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
LIST ya wanyakyusa waliozamia USA.
1.Rick ross( eric mwaryosi)
2. Kanye west( kanyetile mwalwesetile )
3. Lady gaga (lidia mwaigagala)
4. Chriss brown( christopher blauntonye
mwakikonyola) 5. Tupac shakur (Tupakisye shukuru andembwisye)


Kama unawajua Wengine Warushe hapa
 
huyu kazamia UK
Andy Cole - Andendekisye Mwakikole
 
LIST ya wanyakyusa waliozamia USA.
1.Rick ross( eric mwaryosi)
2. Kanye west( kanyetile mwalwesetile )
3. Lady gaga (lidia mwaigagala)
4. Chriss brown( christopher blauntonye
mwakikonyola) 5. Tupac shakur (Tupakisye shukuru andembwisye)


Kama unawajua Wengine Warushe hapa

>Mh?....?
 
Angelina Jolie huyu ni Angumbwike Julius,T.I. Anafupisha tu kiuhalisia ni Tukulagusye Isopwike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom