List ya wanaume 20 wenye nguvu na ushawishi Tanzania

vantz

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
1,107
570
L
c855fae6557116ae3ff15dce31f05e77.jpg
 
List imeandaliwa na watu/taasisi gani na kwa vigezo gani? Makonda sina tabu nae ana ushawishi kweli kwa wanasiasa vijana wenye ndoto kubwa...... ila with all due respect mtu kama Shein ana ushawishi gani? au kwa kuwa ni rais wa Zanzibar? na CCM walimuweka kuwa rais wa zanzibar kwa sababu hizi za kukosa ushawishi...maana wazanzibar hawapendi muungano ila wamekosa mtu tu mzanzibar wa kuwa inspire...wakamuweka shein ambaye anaweza kupelekeshwa na hawezi kutoa inspiration kubwa ili isijekuwa balaa
 
Kuna watu katika list yako nitawakataa.
Mmojawapo ni Said Salim Bakhressa. Na sababu ni kuwa unamweka hapo kutokana na biashara zake. Ila tofautisha 'Personality' na 'Business'.
Bakhressa ni business brand nzuri ila sio mtu anayejiweka kwenye public kabisa.
Nadhani ungemweka kama most infuential and powerful brands in Tz.
Kwa upande wa siasa nikiangalia Ali M. Shein sidhani kama anastahili kuwepo katika list hii.
Sababu hata ukifanya comparison kwa upande wa siasa ya visiwani kati yake na Seif Sharif Hamad utagundua Seif ana ushawishi zaidi.
Sizungumzi kwa kuangalia matokeo ya uchaguzi wa hivi karibuni lakini najaribu kutazama 'historia'
 
Acheni upuuzi! Huo utafiti umejikita zaidi kwenye vigezo vipi? Eti wanaume bora...mimi listi yangu haiwezi kumwacha Ngosha muuza mafuta ya taa mtaani kwetu,aidha nitashindwa kuitambua list itakayoshindwa kutambua mchango wa Abdul mlima tembele bondeni na Daudi mkopesha mkaa mtaani kwetu!
 
Back
Top Bottom