List ya Baadhi ya Wasanii/watu Maarufu waliopata Deals/Ubalozi/Endorsement kutoka kwenye Makampuni

Hamisa mobetto dstv?Darling hair?
Kuna watu hapo nimeona mikataba brand kubwa but still wako very poor why?
Mzee Majuto Hadi matibabu ilikuwa shida..

Watu wa Kati wanapiga sana?

DStv nimeona kama Paula kajala now au??
kuwa poor inategemea na mkataba umesign vipi,
 
Hamisa mobetto dstv?Darling hair?
Kuna watu hapo nimeona mikataba brand kubwa but still wako very poor why?
Mzee Majuto Hadi matibabu ilikuwa shida..

Watu wa Kati wanapiga sana?

DStv nimeona kama Paula kajala now au??
pia Vannesa-Airtel
Ney wa Mitego-Air tel
Barnaba-Airtel
Ben Kinyaiya-Zantel
 
Back
Top Bottom