Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Mahaba mwanangu. Msalimie mkwe wanguMamdogo shikamoo
Mahaba mwanangu. Msalimie mkwe wanguMamdogo shikamoo
Mahaba mwanangu. Msalimie mkwe wangu
Aisee Maua sama anakipaji kikubwa sana... List yako imetuliamahaba niuwe & sis,ikii maua sama
Ray c nataka niwe na wewe milele
upepo & kizunguzungu -recho
diamond - kesho
maunda zoro (mapenzi yawawili)
bushoke - usiende mbali nami
Ruby - forever & tembea na yule
nakujua usiponichokoza hufurahi ila leo nistahi kidogoWokey nimeona mama. Leo staki uchokozi kabisa nawe ila kesho naamka nawe
sasa we jamaa angalia usije ukasema LAISLA BONITA yeke Madona nayo inakupaga Usingizi.Hiyo ninayo... Alafu wimbo wa Abba-Chiquititta
pia unanipatia njozi njema
ujazie na wrapped- Gloria EstefanHizi ngoja nizidownload
Haaah... Kumbe wewe ndo Rubi yule wa Clouds?? Hahahhhaah hiloooo limetemwa na rugee
Hahaha... Laisla Bonita nimeipata juzi leo ni siku ya 3, eti nilikuwa naijua inavyoimbwa lakini msanii simjui, dah nilivyoipata nimefurahi sana...sasa we jamaa angalia usije ukasema LAISLA BONITA yeke Madona nayo inakupaga Usingizi.
Kwa hizi za kibongo 111 Maunda Zoro is the best106. Nataka niwe na wewe milele - Ray c
107. Usiende mbali nami - Bushoke
108. Mpenzi nakupenda - Saida kaloli ft Banana zoro
109. Nampenda yeye - mh Temba
110. Wewe ni wangu - Father G
111. Mapenzi ni ya wawili - Maunda zorro
112. Chonde chonde - Nuruely
Nb. Msiwe mnabagua ngoma za nyumbani zipo nyingi tu nzuri, nilizo_sort zinaweza kuwa sio romantic lakini zinawakilisha mapenzi