PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Hajamaliza bado, and then what does he say/ his opinion?
angekuwa na nia ya dhati angeyasema haya mapema.. tafuteni sababu nyingine..."Alijiuzuru uwaziri mkuu kwa sababu ya Richmond. Tulimweka katika orodha ya mafisadi kwa sababu ya Richmond. Na jana alisema alimwambia rais "tuvunje mkataba" rais akaataa. Angefanyeje?. hilo ni vumbi, litakapo tulia Chama Cha Mapinduzi na mfumo tawala utakuwa umeanguka, tutajenga nchini.Bila kuvunja mfumo tawala hakuna kusonga mbele," ameeleza Lissu.
Penalties.
Yanga 4 azam 5
Engineer umekuwaje tena??
Huku ni siasani na siyo uwanja wa soccer!"
Aah mkuu commercial break kidogo maana hili jambo LA ndugu ngoyai lina break internet.....
Ahsante sana Lissu. Mungu akubariki sana.
angekuwa na nia ya dhati angeyasema haya mapema.. tafuteni sababu nyingine...
mie nawatakia kila lakheri kwenye safari yenu ya matumaini... nitakuwa sehemu ya mabadiliko kwa namna nyingine.. sio kila kitu nishabikie maana tumeembiwa wengine nikinani wakati maprof madr wabunge ,kamati kuu wanajua zaidi wameshakubali wengine ni kinani kupinga huu uamuzi muhimu ni kukaa kando kutizama mchezo tu..wenye chama washaa amua...