Mheshimiwa T Lissu nakuomba usije ukaingia kwenye mtego ambayo inawezekana imetengenezwa na akina Bashite dhidi yako ili uache kuongelea maswala muhimu ya kitaifa, ukabaki kulumbana na Gwajima.
Alivyoongea Gwajima jana kanisani kwake ni mawazo yake. Lakini ukweli utabaki palepale kuwa serikali imechemsha katika swala la mchanga. Mikataba waliingia wenyewe ilitakiwa wazivunje/wazirekebishe kwanza ndio wazuie mchanga.
Watakaoumia ni watanzania wachovu ndio watakao kosa dawa mahospitalini na kukatwa kodi katika kile anachopata.
Kulikuwa na maana gani kuzuia mchanga na baadae tukalipishwa mafaini makubwa badala ya kurekebisha sheria/mikataba ndio tukaanza kuzuia mchanga.